Hii ni Mipango ya Ndoa yangu:
Nifuate uone kama utapotea.
S01E1.
kwanza kabisa napanga nikifkisha miaka 35,nioe mwanamke mwenye miaka 20 (Mimi nimzid miaka 15), hii itaongeza heshima sana, yaani hata asubuhi akiamka awe ananisalimia, tena akiwa mwwmbamba kidogo mweupe nitafaidi sana.
Elimu awe na kuanzia ya kidato cha nne, mwisho cha sita ((kuanzia degree HAPANA aisee)
Awe na hofu ya mungu (lazima nichukue mwenye hofu ya mungu kunizidi, kwani gari bovu linavutwa na Gari jipya)
Asiwe mtu wa mashoga sana (Awe ni yule mtu wa Kufanya mambo yake, marafiki awe nao wachache wenye maana sio wale wa kushinda vibarazani na kuchonga ngenga.
Nitahakikisha hatokei mikoa ya Pwani.
End of S01E01
nifuate uone kama utapotea.
Written by Sec. Mike Pompeo.