Mipango miovu ya CHADEMA kuivuruga ACT


Mtasugua sana bench kusubiria kuifikia Chadema...kudhani kuwa Mtaifikia chadema ni sawa na kuota kuwa wewe ndiye baba mwenye mji wakati baba yako mzazi yupo.
 
Dr. Slaa hatajibu upuuzi huu hana muda, kama hamna wagombea wa kugombea S/M na kutafuta mtu wa kufa naye mfe wenyewe. CHADEMA/UKAWA huwa hatuna utaratibu wa kujibu upuuzi na kuwajibu wapuuzi, tupo busy na maswala makubwa na muhimu ya kitaifa.
 

akili ndogo hyo... sasa ACT wana nini hadi CHADEMA ipoteze muda kuiwaza??

Hamnaa hata mtaji WA uongozi WA chama chenu wilaya mnataka serikali za mitaa....?

aibu hyo umekurupuka mleta mada
 
Chadema ni express train inayosafiri kwa spidi kali ya kilomita 320 kwa saa.
Kwa spidi hii kama unakatiza kilegelege kwenye reli zake kwenda kunywa gongo
lazima ikukwaruze! Ukilalamika wewe ni mjinga sana.Kwa nini usisubiri
treni ipite ndo ukatize zako?

ACT punguzeni ulegelege wenu!
 
Uchafu na dhambi ni kurubuni tena pesa kwa kutageti kundi fulani badala ya kuwashawishi kwa kuwapa sera mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…