Kwa kipindi chote cha awamu ya NNE ya Dr jakaya kikwete mwaka 2005 na 2010 makanisa yalikuwa mbogo kutoa miongozo mbalimbali kwa waumini na watanzania kwa ujumla wakiwaelekeza ni namna gani wachague viongozi wa
kuwaongoza.Cha kushangaza mpaka sasa si wakatoliki,walutheli,waanglikana,walokole au jukwaa LA kikristu waliotoa machapisho yao.Sasa najiuliza muda bado au kwa vile wagombea wote magufuli,lowasa na mughwira ni wa dini moja wameridhika
Kuna watu niliwashangaa, ila sasa najaribu kuwaelewa, usikute ni RC!, hivyo kuliko KKKT bora wamuunge mkono mwenzao!, nilipouliza hata kama ni shetani?, sikujibiwa!, mashambulizi yanaendelea kuelekezwa kwa aliyekuwa shetani, ambaye sasa ni malaika, ila aliye shetani wa sasa anaachwa!.Mwaka huu ndo maana kina Slaa na Mwanakijiji wanahangaika na Lowasa
mgombea wa Pengo yuko CCM..
cc Ritz
Kuna watu niliwashangaa, ila sasa najaribu kuwaelewa, usikute ni RC!, hivyo kuliko KKKT bora wamuunge mkono mwenzao!, nilipouliza hata kama ni shetani?, sikujibiwa!, mashambulizi yanaendelea kuelekezwa kwa aliyekuwa shetani, ambaye sasa ni malaika, ila aliye shetani wa sasa anaachwa!.
Pasco
Du!. Ile siku napandisha hii kitu,[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" [/h] kuna kitu nilisikia, sikuamini hadi leo sitaki kuamini kuwa ndio sababu!.catholic connection is very real
Du!. Ile siku napandisha hii kitu,Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be"
kuna kitu nilisikia, sikuamini hadi leo sitaki kuamini kuwa ndio sababu!.
P.
kwa kipindi chote cha awamu ya nne ya dr jakaya kikwete mwaka 2005 na 2010 makanisa yalikuwa mbogo kutoa miongozo mbalimbali kwa waumini na watanzania kwa ujumla wakiwaelekeza ni namna gani wachague viongozi wa
kuwaongoza.cha kushangaza mpaka sasa si wakatoliki,walutheli,waanglikana,walokole au jukwaa la kikristu waliotoa machapisho yao.sasa najiuliza muda bado au kwa vile wagombea wote magufuli,lowasa na mughwira ni wa dini moja wameridhika
Halafu Waislamu tunaitwa wadini, duh...watu kimyaaaa hadi leo hakuna waraka.
wakatoliki sometimes ni wadini sana, sijui kwanini walikuwa hamtaki muislamu kikwete kiasi kile, hadi programme ya mafunzo ya waamini wao kuhusu uchaguzi , wakitoka hapo wanasema kikwete ndo mdini!
Mwaka huu kimya!!!!! Hakuna cha waraka wala mafunzo, kama ilivyokuwa 2010
wengine wanasema wakatolili wameathiriwa sana kibiashara kwa uwepo wa shule za kata, udom, na zahanati za kata, walizoea kudominate biashara katika areas hizi alizozisimamia kikwete kwa nguvu!
Hakika mungu atamlipa jk kwa kujaribu kufuta matabaka, leo hii hassan naye anasoma kama john, rungu la mungu limeanza kumuangukia dr salaa coz ni miongoni mwa waliomsumbua sana jk hasa baada ya kushinswa kwenye uchaguzi