GE2025 Minja: CHAUMMA ikishika madaraka, kilo moja ya mchele itauzwa Tsh. 500

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,160
Reaction score
11,228
Ajenda ya lishe kwa chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA inatajwa kuwa ajenda ya kimkakati katika kuchagiza lishe Bora,akizungimza na wananchi wa kata ya Ngerengere Mkoani Morogoro wakati wa kampeni za kunadi sera za chama hicho, mgombea mwenza CHAUMMA Devota Minja,amesema CHAUMMA Inakuja na mkakati maalumu wa kuhakikisha Taifa na wananchi wake wanapata chakula Cha kutosha,Mchele kilo moja iwe shillingi mia tano (500 KG) inawezekana.

Morogoro wamejaa wakulima wa mpunga na uchumi wao upo kwnxe kilimo cha mpunga then unawaambia mchele kg 500 ili wafisike? chauma kweli mnapoteza pesa kodi ya wananchi kwaajili ya futuhi! aibu sana
 
Ajenda ya lishe kwa chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA inatajwa kuwa ajenda ya kimkakati katika kuchagiza lishe Bora,akizungimza na wananchi wa kata ya Ngerengere Mkoani Morogoro wakati wa kampeni za kunadi sera za chama hicho, mgombea mwenza CHAUMMA Devota Minja,amesema CHAUMMA Inakuja na mkakati maalumu wa kuhakikisha Taifa na wananchi wake wanapata chakula Cha kutosha,Mchele kilo moja iwe shillingi mia tano (500 KG) inawezekana.

View attachment 3464792
Jamani,kumbe bado sera za wali zinatamalaki,nilidhani wameenda kufanya mapinduzi.
 
How ?

Unless wawekeze kwenye mashamba yao watakayouza Tshs 200/= ili wengine bei ishuke sababu ya competition kwa kufanya average iwe 500/=

Ila kwa maisha ya sasa watu wataona kulima mpunga ni upuuzi bora wakalime ma Passion au zao lingine....

Cha muhimu kupata kitu sustainable ni kuhakikisha watu wanapata ujira wa kutosha au hata kabla basi wabakiwe angalau na kiasi na sio Serikali kuchukua chote

Ajenda ya lishe kwa chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA inatajwa kuwa ajenda ya kimkakati katika kuchagiza lishe Bora,akizungimza na wananchi wa kata ya Ngerengere Mkoani Morogoro wakati wa kampeni za kunadi sera za chama hicho, mgombea mwenza CHAUMMA Devota Minja,amesema CHAUMMA Inakuja na mkakati maalumu wa kuhakikisha Taifa na wananchi wake wanapata chakula Cha kutosha,Mchele kilo moja iwe shillingi mia tano (500 KG) inawezekana.

View attachment 3464792
Mchakato wa kuhakikisha bei ina kuwa hiyo,ni upi tumemchaangaanmuo,ili tukuaminni iwapo unahitaji kura zetu.Je utalimaa wewe na kuuza kwa bei hiyo au watalima wakulima na utawalazimisha wauze kwa bei hiyo au?Maelezo ya ziada ndugu mgombea?
 
Back
Top Bottom