Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Unashau kuwa tanesco kwa sasa inafanya miradi mikubwa kama minne yote ya uwekezaji mkubwa hivyo hsara hikwepeki ila ipo siku watanzania watajuta kumkosa muhongo kama Rais atakubali kutengua uteuzi wake.Nakubaliana na wewe kwamba he's the best....hata tanesco kwa sasa imetengeneza hasara mara tatu ya alivyoikuta.
Arrogance na brilliance kitu bili tofauti
Nakubaliana na wewe kwamba he's the best....hata tanesco kwa sasa imetengeneza hasara mara tatu ya alivyoikuta.
Arrogance na brilliance kitu bili tofauti
Niseme tu kua siungi mkono wizi wa mali za umma wala matumizi mabaya ya ofisi.
Nachokisema ni kwamba Muhongo ni moja ya mawaziri makini na bora kabisa Tanzania imebahatika kua nao.
Uwe unampenda au humpendi,tukiacha siasa za kinafiki za kitanzania Muhongo is the best maana mambo mengine hayo ni siasa.
Muhongo ni waziri asie mnafiki,he calls a spade a spade,kama uwezo wako ni wa kuuza juisi anakwambia,hakuna unafiki.
Tuliozoea siasa za kimagumashi na kinafiki za kitanzania tutamuona mhongo mbaya na kumtungia mambo. Ni waziri pekee alieweza kuimudu wizara ya nishati na madini.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,tujifunze kukubali ukweli hata kama hatuupendi.

muhongo lazima awapigeni sana fimbo za mgongo. utendaji wake uliotukuka ndio mwiba kwenu
Unashau kuwa tanesco kwa sasa inafanya miradi mikubwa kama minne yote ya uwekezaji mkubwa hivyo hsara hikwepeki ila ipo siku watanzania watajuta kumkosa muhongo kama Rais atakubali kutengua uteuzi wake.
U profesa wa Muhongo ni kwa kuibia watanzania tu.I have lived with professors, one thing I
have observed common to most of them...
they always humble themselves down, they
listen more than as they speak, they speak
with facts, they never manipulate facts...
People with pomps, mostly are semi-
illiterates!!!
Na fitina za PAC na bunge lote je?Nyota ya muhongo ni kubwa itazidi kuwaka daima fitina za akina mengi na mkono hazina mashiko hata akiondoka tanzania dunia inamhitaji.
Huwa nashangazwa na lack of basic knowledge katika michango yako.Unashau kuwa tanesco kwa sasa inafanya miradi mikubwa kama minne yote ya uwekezaji mkubwa hivyo hsara hikwepeki ila ipo siku watanzania watajuta kumkosa muhongo kama Rais atakubali kutengua uteuzi wake.