Mining engineer natafuta nafasi ya kazi

Mining engineer natafuta nafasi ya kazi

TEMAKA

Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
23
Reaction score
21
Habari wakuu, Nina digrii ya uhandisi wa uchimbaji madini (BSc Mining Engineering).

Nina uzoefu katika;

-kufuatilia utendaji wa mitambo
-kuhakikisha usalama kazini
-Nina uelewa mzuri wa matumizi ya programu kama Surpac, Datamine, na AutoCAD
-Stadi za uchambuzi na uandaaji wa taarifa za kila siku
-Kuratibu uendeshaji wa machimbo
-Ulipuaji wa baruti na uhifadhi salama wa baruti

Kwa sasa natafuta fursa yoyote ya kazi inayohusiana na uhandisi wa migodi au shughuli za uzalishaji kwenye machimbo/migodi. Niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote nchini.

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu tafuta KAZI kwenye jobsites Mbalimbali Naona ggm barrick na makampuni mengine meng wanapost nafas za KAZI Kila siku ya mungu labda kama utak kufanya Kaz kijijn
 
Kiongozi nafatilia sana hasa linkedin, naomba sana nafasi ila sijawahi pata feedback yoyote nzuri.
 
FaTIIia na ajirazetu, ajiraportal telegram akaunti, creed ajira portal wasap channel, ajiriwa na nyingne
 
Habari wakuu, Nina digrii ya uhandisi wa uchimbaji madini (BSc Mining Engineering).

Nina uzoefu katika;

-kufuatilia utendaji wa mitambo
-kuhakikisha usalama kazini
-Nina uelewa mzuri wa matumizi ya programu kama Surpac, Datamine, na AutoCAD
-Stadi za uchambuzi na uandaaji wa taarifa za kila siku
-Kuratibu uendeshaji wa machimbo
-Ulipuaji wa baruti na uhifadhi salama wa baruti

Kwa sasa natafuta fursa yoyote ya kazi inayohusiana na uhandisi wa migodi au shughuli za uzalishaji kwenye machimbo/migodi. Niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote nchini.

Natanguliza shukrani.
Habari wakuu, Nina digrii ya uhandisi wa uchimbaji madini (BSc Mining Engineering).

Nina uzoefu katika;

-kufuatilia utendaji wa mitambo
-kuhakikisha usalama kazini
-Nina uelewa mzuri wa matumizi ya programu kama Surpac, Datamine, na AutoCAD
-Stadi za uchambuzi na uandaaji wa taarifa za kila siku
-Kuratibu uendeshaji wa machimbo
-Ulipuaji wa baruti na uhifadhi salama wa baruti

Kwa sasa natafuta fursa yoyote ya kazi inayohusiana na uhandisi wa migodi au shughuli za uzalishaji kwenye machimbo/migodi. Niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote nchini.

Natanguliza shukrani.
 
hahahahaha
Unacheka nini mkuu?, wengine hatuna vipimio vya kugundua madini kwenye miamba, huwa tunajichimbia tu kwa kuhisi; kwa kuwa anaujuzi itaraisisha kuitambua miamba/mawe yenye madini na kupata madini kwa wakati na kwa gharama ndogo.​
 
Kwa kuangalia jiwe, unaweza kutambua madini yaliyomo?
Ndiyo mkuu ila hicho ni kama kiashiria tu, itahitajika utafiti zaidi kujua madini yalimo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom