Spliffcharm
Senior Member
- Jun 21, 2020
- 154
- 419
Kaka hizi mashine ni lifesaver. Tena sisi wengine wenye familia za watoto wadogo. Wanawake wanateseka sana the least we can do ni kuwasaidia na vitu kama hivi ndugu yangu. Vinafua vzuri mno na unaweza kufua hata mara kumi kwa siku na umeme wake ni mdogo sana unatumia.Huwa nashangaa mtu anajipinda na kufua kwa mikono wakati hiyo mashine inaokoa muda sana
Watts ngapi hiyo ya kg 5Kaka hizi mashine ni lifesaver. Tena sisi wengine wenye familia za watoto wadogo. Wanawake wanateseka sana the least we can do ni kuwasaidia na vitu kama hivi ndugu yangu. Vinafua vzuri mno na unaweza kufua hata mara kumi kwa siku na umeme wake ni mdogo sana unatumia.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Tununuliane mkuuHuwa nashangaa mtu anajipinda na kufua kwa mikono wakati hiyo mashine inaokoa muda sana
Mbona nguo zimeandikwa vizuri kwenye zile labels, kuna za machine wash na dry clean, na nyingine hazitakiwi kabisaWashing machine zinasaidia sana sana 'ukiweka pembeni ka tabia kake kakuharibu baadhi ya nguo.
Wenye hela mnunue. ..
110Watts kaka ..Watts ngapi hiyo ya kg 5
Changamoto iko wapi mkuu?Changamoto Ni sisi tunaoishi nyumba za kupanga.
juu ya matumizi ya umeme, wapangaji wengine wataona kama unawanyonya kitu kinachopelekea mgogoro
Inatumia Watt ndogo sana ...!! 110 tu.juu ya matumizi ya umeme, wapangaji wengine wataona unawanyonya kitu kinachopelekea mgogoro
nimekuelewa sana mkuu ila kwa maisha yetu ya kibongo Ni ngumu sana hiyo mashine uilete home halafu wapangaji wenzako wachukulie poah, vitu kama hivi ukiwa upo kwako au umepanga nyumba mzima ndio inapendeza sana.Inatumia Watt ndogo sana ...!! 110 tu.
Imezidi taa kidogo sana.
Uzuri wa hizi mashine zmetarget watu wa hali ya kawaida. Umeme mdogo sana, portable. Unakabeba unapeleka nje unafungulia maji machafu yanatoka unaweka mengine masafi. Halafu kinafua kusuuza na kukausha. Very durable pia. Mimi chakwangu mwaka wa pili sasa natumia kizima kabisa.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hivi ukishakuwa na nguo nyingi utakumbuka hizo mambo? Ni ngumu kiasi...Mbona nguo zimeandikwa vizuri kwenye zile labels, kuna za machine wash na dry clean, na nyingine hazitakiwi kabisa
Warranty mda gan?Pata mashine ndogo za kufulia, zinatumia umeme mdogo sana na kufua kwa ufasaha. Kuna za kilo 5 unazoweza kufua mpaka nguo 5 na kilo 7 ambazo unafua mpaka nguo 10 na zaidi. Tunapatikana Kigamboni na Kijichi lakini pia delivery tunafanya.
Mashine za kilo 5 ni 170,000Tshs
Mashine za kilo 7 ni 370,000Tshs
Mawasiliano ni 0673958899 Call & Whatsapp. View attachment 2024884View attachment 2024885View attachment 2024886View attachment 2024887
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app