Mineral Resources Institute

kaccy

New Member
Sep 24, 2012
1
0
jamani naomba nifahamishwe kwa anayefahamu matokeo maombi ya chuo cha nishati na manidi lini?
 
jamani naomba nifahamishwe kwa anayefahamu matokeo maombi ya chuo cha nishati na manidi lini?

Walisema watayatoa soon. Kwa msaada uwe unatembelea tovuti ya chuo.
Wewe umeomba katika kozi mpya?au unataka matokeo yapi?
Www.mri.ac.tz
 
iman hata mimi natafuta hayo matokeo ni mwanafunz wa huko kama una mtu unayemfahamu yupo dodoma mpe reg no yako akutazamie
 
Back
Top Bottom