djesco
Senior Member
- Jun 26, 2013
- 166
- 52
Halotel ameshaanza kuwa tishio hivyo wabaya wake wanaleta fitina! Kwa kasi hii ya internet Voda,tigo na airtel mtasubiri sana. Voda MPESA,Tigo-Tigopesa,Airtel-calls&sms. HALOTEL for internet!
Luna v-money mkuu *150*88# yaani hapa no kuchapa