watu wa mirambo tuilikua makina na usafiri,alafu kinyogoi kwa matusi utafikiri alizaliwa usiku wa manane,banoba nae alitoa swali nakumbuka kutoka kwenye up then ajui jibu swali moja majibu5,ama kweli tumetoka mbali,mbishioe uone,mihogo ya mama kinyogoli c mchezo,alafu bweni fulani kwa wizi utafikiri kariakoo au ;osta