Kachaguliwa Minaki? Kama ndio aende akapambane atatoboa. EGM sio kombi ngumu, ni rahisi kufaulu.
Hiyo kombi kwa shule za Pugu, Minaki wanafunzi wanatoboa vizuri tu.
Kikubwa umueleze, Shule ya Serikali na Seminary ni tofauti. Shule ya serikali hakuna kutafuniwa kama ilivyo seminary, ni kupambana kwa asilimia kubwa.