Minaki na miaka 50 ya uhuru

super j4

Member
Mar 10, 2011
11
1
Vijana wa minaki tunapenda kuwa karibisha watu wote waliosoma na kuitumikia minaki tr 4/12/2011.
 
Vijana wa minaki tunapenda kuwa karibisha watu wote waliosoma na kuitumikia minaki tr 4/12/2011.

Mkuu mbona unasema mambo kujuu juu tu, are you serious - usemi tunakaribishwa wapi na kuna ratiba gani; vipi BWANA!

Watu wengine Minaki imetufikisha mbali sana katika maisha YETU, kwa hiyo usilete mambo ya kumzaa mzaa, samahani kama nimetumia lugha kali kidogo.
 
Hey mi bado sijajafika hapo but i like minaki hence if God wish i 'll join u.
 
Samahani wana jf.nipeni nafasi ya kufanya masahihisho na kueleza vizuri.thr 3/12/2011 kutakuwa na kongamano la minaki na miaka 50 ya uhuru shuleni minaki kisarawe pwani.tunafanya mikakati ya kutafuta watoa mada mbalimbali na waandishi wa habari.tuna amini tanzania itajengwa na watanzania.wazee wetu kama prf balegu,malecela,tido na wote waliosoma minaki.nipe jina na sanduku la posta tukutumie official au e-mail. Wasiliana 0718180449 kwa maelezo zaidi ahsante
 
wazo zuri sana na mimi ni minaki alumnus . i wish kuwepo ntaconfirm mkuu as soon as possible.
WE NEED CHANGES BY ANY MEANS
 
wazo zuri hebu jaribu kucheki nasikia mboma alisoma hapo.halafu pitia pitia facebook kuna group la minaki alumni
 
Back
Top Bottom