Habari zenu wana Mtwara tafadhali anae fahamu kuhusu ratiba za minada ya Mtwara mjini tafadhali. Nitakapo kuwa Mtwara nitautumia muda huo kuzunguka kwenye minada yote ya Mtwara kwa ajili ya ku interact na wana Mtwara.
Sasa,nakushauri usiendelee kudai taarifa nyingi mnoo.Utakinai eneo kabla haujafika huko.Mengine unatakiwa ukakutane nayo hukohuko.Tunapoelekea utatuuliza hadi watembea kwa miguu hupita upande gani mwa barabara.Bon voyage,boss!