mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
Ha ha ha ha..hongera sana mtu wangu wa karibu
baada ya msoto wa mda mrefu natangaza rasmi
kuanzia leo ni mimi na mimisa tu,naomba msimsumbue my baby, niachen nijilie vyangu
i love u so much mimisa
Yani humu ndani ni mapinduzi na ndoa kila siku
Hongereni.
Nani kakuruhusu bila idhini yangu!??
Unajifanya hujui?Wapi???
nakodisha suti na mashela ya harusi...
Nakodisha suti na mashela ya harusi...
huyu ndio baby wangu wa ukweli