n.y.e.g.e km njaa vile sasa hivi utaagiza chipsi mayai(sharobaro) au nguna (rijali) namuunga mkono lara golden rule kwenye relationship dont expect anything. Tatizo jingine ambalo linawarahisishia wanaume kuwapata kiurahisi wanawake na kuwakimbia kwa tatizo hilo hilo ni sindano aka virungu, lastly but aint least mmekutana jana leo mama anataka akuone, kesho ndoa lini mwee!
pole sana dada jenu,kwanza kabisa jitambue kwamba wewe ni wathamani sana machonipa mungu wa mbingu na nchi,pili tubu dhabi ya zinaa kabla ya ndoa,ni dhambi mbaya sana,sama neno la mungu ktk [1wakorinto 6;18]inasema;ikimbieni zinaa,yeye afanyaye,zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe,,ndio maana nakwambia hutubu kisha umrudie mungu,kwani mume mwema utoka kwake,mwombe yeye atakupa mume mwema sana,usikubali kuu dhalilisha mwili wako,wewe ni wathamani sana,jieshimu,na mungu atakueshimu,na kukupa mume bora sana,zingatia ushauri wangu,na yesu akubariki sana,ishi maisha matakatifu,ya kumpendeza mungu,
Kwani wameharibu kabisa
li-tiGo lako?
Wewe ndo tatizo thats why ulikuwa unatega tu kwa kila unayekutana naye bila kufikiri.
Ukipanda upepo, tarajia kuvuna tufani.