Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,925
- 133,973
Mimi namtegemea Mungu pekee, sitegemei binadamu...alisema
Ninajiuliza huyo Mungu atashuka kukufanyia wewe jambo fulani? Sio kwamba anapotaka kufanya anafanya kupitia hao watu? Ulipoumwa si mtu daktari alikutibu?
Huo mshahara si mimi mtu muhasibu nilikulipa? Sasa iweje useme hutegemei watu.
Kuwa fair, ukweli ni kwamba unategemea watu, na Mungu atatenda kupitia watu.