Mimi Sio Victoria,...

Lungs kama hizi ndo zinakufanya SAA nyingne ukumbuke uzalendo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unazidi kuniua jamani
 
Kwann uandike kichwa kiswahili ndani kidhungu

Weka kiswahili wew usitupe kazi na madikishonari [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani nimefurahi maana kila anaeingia anatoa comment kwamba hajaelewa wewe tu ndo km umeelewa
Magufuli shikamoo baba
Hahahahahha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lugha ..ililetwa na meli zakivita za malikia Elizabeth
 
Mkuu upunguze wengne tunasoma tukifika kwenye nukta tuna convert kuja kiswahili baada ya hapo tunaleta kilungha hapo ndo Unaelewa.
 
Acha kabisaaa walituachia tu izi mambo za

This is A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z.

kuziundia maneno nakujua maana yake ndo patashika !!!
Unaanza u know, eeeee actually si kwamba niii nilimean vile oook, mkuu hatakagi shida kabisa twanga kiswahili hlf unaajiri mtu wa kukufanyizia kwa kiinglish fullstop
 
Wakuu Nina uhakika kutokana na current insues zinazoendelea nchini kwetu mtoa mada kama hajazaungumzia issue ya Zamaradi basi n Zari , Mabetto na Diamond. M nahisi msipoteze mda we comment chochote kuhusu hao watu.
 
Eti eeh umepata ka mwanga kidogo, mi namsubiri amesema anarudi kumalizia tafasiri
 
At only 26 you have all the time in the world to fall in and out of love over and over again, trust me
 
Wakuu Nina uhakika kutokana na current insues zinazoendelea nchini kwetu mtoa mada kama hajazaungumzia issue ya Zamaradi basi n Zari , Mabetto na Diamond. M nahisi msipoteze mda we comment chochote kuhusu hao watu.
Hahahahah mkuuu.

Bas Mimi nampongeza Zary kwa hatua alizofikia ...ujue nibora alee watoto wake tuuu au unasemaje mkuuu ??? Maana mtoa mada hapa naona yeye yupo katikati so kwa dai wala zar wala mobeto !!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…