Phenomenal woman
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 334
- 654
- Thread starter
-
- #21
Rafiki ya Victoria.Phenomenal woman wewe ni victoria,
Kwanza nimeona Uzi wake wa Utambulisho kisha nikaona huu. Nikadhani labda kwenye Jukwaa la Utambulisho kuna watu wamemfananisha na Victorie kumbe ni hadithi.
Sio mpya Sana.
Toka 2015 sio mpya uyu
Si ndo umetoka kule et ni mgeni umu au sio wewe mkuuSio mpya Sana.
wapi.. niko hapa hapa,.. nilikua siingii sana jf. Now niko active just that.Si ndo umetoka kule et ni mgeni umu au sio wewe mkuu
Usinipe kazi ya kuweka link ya uzi ulijitambulisha mda mfupi kutoka sasawapi.. niko hapa hapa,.. nilikua siingii sana jf. Now niko active just that.
Kaongeza ingine kwa kiinglish jamani, wakipatikana watu kumi km hawa jf mbn mahudhurio humu yatafifia kwa kiwango cha kutishaToto hii lugha hatuitaki hujatulipia ada
hahahahahhaha nimeachaa.. mamaToto hii lugha hatuitaki hujatulipia ada
yameishaaa,.. siendelei.Kaongeza ingine kwa kiinglish jamani, wakipatikana watu kumi km hawa jf mbn mahudhurio humu yatafifia kwa kiwango cha kutisha
Tutafsirie mkuuyameishaaa,.. siendelei.
KabsaaTutafsirie mkuu
Kabsaa
ni ndefu kutafsiri aise,.. But kufanya fupi ni hiviiiii.....Victoria yuko kwenye mahusiano na mpenzi wake na yukko mbioni kuhama anapoishi kwenda kuanza maisha mapya na mpenzi wake huyo. that being said ana share na shoga yake kinacho endelea kwenye maisha yake. Bila kujua anamkumbusha shoga yake kuwa hajawahi kuwa na mahisianoiano ya na mna hiyo kwake mapenzi ni hadithui za vitabuni na movie,.. Mambo si mazuri kwake mpaka anaanza kuji tathimini miaka mitatu nyuma hajawahi kuwa katika penzi lenye lenye hisia za mfanano.... mara zote ni either yeye apende sana asipo pendwa au apendwe sana asipo pendwa we all know these things,.... I my self know this thing .......................Ntaendelea,..Tutafsirie mkuu
Bora ivi kidogo kumbe ni kastory katam hivi ebu kaandae vizur uje nako vizurni ndefu kutafsiri aise,.. But kufanya fupi ni hiviiiii.....Victoria yuko kwenye mahusiana na mpenzi wake na yukko mbioni kuhama anapoishi kwenda kuanza maisha mapya na mpenzi wake huyo. that being said ana share na shoga yake kinacho endelea kwenye maisha yake. Bila kujua anamkumbusha shoga yake kuwa hajawahi kuwa na mahisianoiano ya na mna hiyo kwake mapenzi ni hadithui za vitabuni na movie,.. Mambo si mazuri kwake mpaka anaanza kuji tathimini mikaka mitatu nyuma hajawahi kuwa katika penzi lenye lenye hisia za mfanano.... maro zote ni either yeye apende sana asipo pendwa au apendwe sana asipo pendwa we all know these things,.... I my self know this thing .......................Ntaendelea,..
Nishamwambia aache ila hakomiKaongeza ingine kwa kiinglish jamani, wakipatikana watu kumi km hawa jf mbn mahudhurio humu yatafifia kwa kiwango cha kutisha
Ok tunasubiri muendelezoni ndefu kutafsiri aise,.. But kufanya fupi ni hiviiiii.....Victoria yuko kwenye mahusiano na mpenzi wake na yukko mbioni kuhama anapoishi kwenda kuanza maisha mapya na mpenzi wake huyo. that being said ana share na shoga yake kinacho endelea kwenye maisha yake. Bila kujua anamkumbusha shoga yake kuwa hajawahi kuwa na mahisianoiano ya na mna hiyo kwake mapenzi ni hadithui za vitabuni na movie,.. Mambo si mazuri kwake mpaka anaanza kuji tathimini miaka mitatu nyuma hajawahi kuwa katika penzi lenye lenye hisia za mfanano.... mara zote ni either yeye apende sana asipo pendwa au apendwe sana asipo pendwa we all know these things,.... I my self know this thing .......................Ntaendelea,..
Kidogo nimetuliapo lohBora ivi kidogo kumbe ni kastory katam hivi ebu kaandae vizur uje nako vizur
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Bora ivi kidogo kumbe ni kastory katam hivi ebu kaandae vizur uje nako vizur