fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,608
- 7,167
Mimi ndio ningekuwa yeye,ningeufyata mapema,ningejiuzulu na kuwaachia wananchi kuchagua viongozi wanaowataka.Ningeisalimisha nchi kipigo chote hiki na kusalimisha nchi kuharibiwa.Sasa angalia watu wanakufa,viongozi wote wanauliwa kila siku na nchi inabomolewa na watarudi nyuma miaka 100 na sijui kama hiyo nchi itakuja kutengemaa.Viongozi wa Irani wanajua kuwa hawana nguvu za kijeshi wala za kiuchumi za kushindana na Marekani,yanini wamejiletea maafa makubwa kwa nchi yao?