Endelea kujitunza mkuu wadada matapeli wasije wakakuchezea wakakuacha kwenye mataaSaiv nina uvulana wangu kabisa
Una matatizo makubwa ya afya.....sio kila kufanya tendo ni uzinzi....tendo ni tiba ya akili pia kupunguza msongo wa mawazo, kufanya balance ya protini mwilini....Mimi nimeweza kukaa bila kushiriki tendo la ndoa toka kuzaliwa hadi sasa nina miaka 30 na sijafa. kunao wanaosema wanaume hawawezi kukaa bila ngono ila huo ni uongo.
Mimi nimeweza kuishinda tamaa ya mwili ata wewe unaweza. ata saiv nilipo sina demu na ninaishi sitaki usinzi kabisa.nasubiria hadi wakati mwafaka.
Usidanganyike, chaputa tunalomba Wanawake kama kawaida
Sasa huyu tumuweke kundi gani sijui ngoja katibu aje secretarybirdUsidanganyike, chaputa tunalomba Wanawake kama kawaida
Miaka 30 huijui papuchi? Wewe una matatizo bnaMimi nimeweza kukaa bila kushiriki tendo la ndoa toka kuzaliwa hadi sasa nina miaka 30 na sijafa. kunao wanaosema wanaume hawawezi kukaa bila ngono ila huo ni uongo.
Mimi nimeweza kuishinda tamaa ya mwili ata wewe unaweza. ata saiv nilipo sina demu na ninaishi sitaki usinzi kabisa.nasubiria hadi wakati mwafaka.
Hapana mkuuNdoto nyevu huoti?
Huyu atakuwa anagawa kijambioSasa huyu tumuweke kundi gani sijui ngoja katibu aje secretarybird