Mimi nimeshajiandaa kushangilia ushindi, wewe je?

Mimi nimeshajiandaa kushangilia ushindi, wewe je?

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
Ni kwa kuwa najiaamini, nimeshamaliza kuweka bendera za kutosha kwanzia ndani kwangu mpaka ikulu magogoni.

Wewe je?

1445581927388.jpg 1445581970595.jpg 1445581985707.jpg
 
Lowassa ni superPower amefanya kampeni mara 4 katika uchaguzi wa mwaka huu,kura za mjini na vijijini anazo za kutosha,kumbuka huyu alikuwa ccm miezi 4 iliyopita.
 
Umenichekesha sana mkuu! Mungu ameshasikia.
 
Umenichekesha sana mkuu! Mungu ameshasikia.

kwakua hatumii nguvu tunasukumwa na mateso ya miaka 54 ndiyo maana kila mtaanzania anasema inatosha tuko na lowasa kupitia ukawa
 
Mtazichoma moto hizo.

Halafu kuna jamaa aliweka ahadi mtandaoni alisema iwapo CCM ikishinda uchaguzi wa mwaka huu yeye atatoa tako bure.

Sasa ajiandae lazima aingiliwe kimwili.

Labda tu iwe ni michezo yake, na ile ilikuwa ni mbinu ya kujitangaza kuwa yeye ni *****
 
Back
Top Bottom