kampeni au usamaria wema?Hii picha ni taswira ya kijijini kwetu kabisa. Lakini na mimi nilikulia katika mazingira kama haya! Ila mpaka leo hapajabadilika. Nitajenga kisima mwaka huu karibia na kwa bibi yangu!
<br /><img src="http://4.bp.blogspot.com/-bqRmbZ7xO-o/Ti_nRZa8AuI/AAAAAAABq4E/uRfhPU31XDo/s1600/3.JPG" border="0" alt="" /><br />
jamani hata mtu kummimba mkewe ni makosa ya ccm?CCM Oyeeeeeeeeeeeeeee.
Tumeahidi tumetekeleza.
Haya ndio MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
jamani hata mtu kummimba mkewe ni makosa ya ccm?
Ni usamaria kaka, Ila niliwahi kuwa na hamu ya kugombea ubunge lakni kwasasa sitaki tena labda mpaka magamba wafutike kwenye ramani ya tanzaniakampeni au usamaria wema?