Mimi ni Vice president mtarajiwa chuo cha maji

hansluvanga

Member
Apr 18, 2014
96
25
Nimedhamiria kufanya mapinduzi ya ki mfumo hasa katika upande wa elimu,mikopo pamoja na afya pia wanafunzi watapata nafasi ya kuchangia katika masuala mbalimbali ya uendeshaji wa gvt ya WISO
 
Hivi nyinyi wanafunzi hamna Personal group za Chuo au blog kwa ajili ya mambo yenu sasa unapiga kampeni humu unahisi tutaelewa nini unahsi humu wote ni WDMI,Acheni ushamba
 
Back
Top Bottom