Mimi ni Polisi: Fastjet

Kwa hiyo una maana tumdhamini atoe kitabu?
 
Hahahaaaa, pole Askari mentor

Huyu mrakibu msaidizi wa polisi unadhani anahitaji pole? yaani mtu unazima radio call kisa umeona mchepuko? Ndo maana majambazi hayeishi kila siku mara ubungo...mbezi jogoo....mwai kibaki road...bado wale panya road...kumbwa maaskari wako bize na hawa kina nani sijui....:angry:
 
Unamuonea afande....hata yeye ana moyo wa kupenda kama wewe.....afu mtake radhi ule haukuwa mchepuko ilikuwa njia kuu...
 
Unamuonea afande....hata yeye ana moyo wa kupenda kama wewe.....afu mtake radhi ule haukuwa mchepuko ilikuwa njia kuu...

Hahahaaa...huyu anajulikana visa vyake..kuna kingine cha Bariadi huko sijui...halafu ukiwq askari ameshasema hakuna sikukuu ujue...
 
napata shida sana kusoma maelezo marefu alafu yawe pumba kwa hasira nakuripoti kwa Mangu kwa kulidhalilisha jeshi letu na kwa taarifa yako nimesha kujua
 
napata shida sana kusoma maelezo marefu alafu yawe pumba kwa hasira nakuripoti kwa Mangu kwa kulidhalilisha jeshi letu na kwa taarifa yako nimesha kujua

Sasa wewe NCO unanitishia mimi mkaguzi wako u mzima kweli??! Ama ndo maji kupanda mlima? Askari wa .com bana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…