Mimi ni Polisi: Fastjet

Nimekusamehe wifi yangu.....

Sema sijajua kwa nini mume wangu anafanya hivi....hadi nyumbani....duh!!



Ndio Maana nakupenda dada Yangu! Uko Na moyo safi!
 
Asante wifi nakupenda sana



Unampenda kuzidi unavyonipenda Mimi???
Eeeh?

Just jokes swty! Just give out all your luv to my family eeeeh, SI Unajua SISI wasukuma mpnz!!!
 
Unampenda kuzidi unavyonipenda Mimi???
Eeeh?

Just jokes swty! Just give out all your luv to my family eeeeh, SI Unajua SISI wasukuma mpnz!!!

Hahaha swity wivu hadi kwa dada yako? Usijali honey nafurahi sana kwamba mi ni mwanafamilia
 
Hahaha swity wivu hadi kwa dada yako? Usijali honey nafurahi sana kwamba mi ni mwanafamilia



Sio wivu mpnz nilitaka tu Linganisha upendo Kati Yangu Na dada nani wampenda sn!
 

Samahani kuuliza yaafutayo

1.kanipa gani
2:mwisho kidato..degree..masters
3::unaitaji rehema zanbwana ukatubu ndugu hizo pesa nimeangalia nawakukumbuka wazaziwako na ndugu Kule kijijini nao ukatubu juu ya hili

4:aikunyingine usifanye kosa Akuna tkt isiyouzika nchi hii hata iwe ya shemejiyako nilikuwa swala la kutafuta mtu anakuja na hiyo tkt Yako anakupa Chako nusu bei usiseme tena mbeleyawatu ni dhambi
 
Yupo na mumewe sasa hivi amelala.... Mbona upo interested sana na huyu mtoto kulikoni?



Sijamsalimia MTOTO WETU swty! Maana zimekua siku nyingi!

Vp swty Mbona wauliza Hivyo??
 

Mkuu Pdidy sijakusoma...!!!
 
Last edited by a moderator:

hapa pdidy alikuwa anaongea bhuyegwa na lugha ya kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…