Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Wakuu Maisha yamekua Magumu sana kila siku kushinda nyumbani nimechoka miaka Nayo inaenda. Hivyo basi naomba mtu yeyote anisaidie Nina Uwezo wa Kufanya Kazi Zozote ukiacha Hasa zisizohusu Urubani, Udaktari, Uhandisi na vinginevyo Vinavyohusu Afya na Ufundi/uhandisi
Ninaweza
-Kutengeneza Marejesho ya kodi ya Ongezeko la thamani VAT.
-Nina Uelewa wa sheria za Kodi za Tanzania
-Nina Uwezo wa Kutumia Programu za uhasibu kama Quick Book na Epicor
-Nina Uwezo wa Kutumia Computer hasa Microsoft Office
-Nina Uwezo wa Kutayarisha taarifa za fedha
-Nina uwezo wa kutayarisha ripoti za fedha.
Wadau naombeni msaada nataka Kujitolea tuu pia Milango haijafungwa kwa mwenye huruma na Kunitafutia Kazi ya Kudumu.
Nitafurahi sana wanajamii Forums na Nitaleta Mrejesho hapa.
Asanteni.