Utakuwa mpare wewe[emoji38]Kwanza kabisa wanawake omba omba sijawahi kabisa kuwa kwenye mahusiano nao,unajua kwanini huwa sitongozi kila mwanamke anayepita mbele yangu!,kwanza kabisa najijua mimi ni mwanaume wa aina gani na natakiwa kuwa na mahusiano na wanawake wa aina gani!
Ushawahi kusikia mtu anayekaa masaki anasema kodi ya nyumba ni kubwa?,lakini akitoka mtu anaishi mbagala kwenda kuulizia nyumba masaki
Ahaaa kama wanawake wazuri sawa. Wanawake warembo ni gharama mkuu.Ukiweza kutofautisha kati ya slay queen,gold diggers na Mwanamke mzuri utaokoa nafsi yako
Haha eti hajawahi kuombwa 50k?Mmmh,hii imekuwa too much,
Hili nalo nenoSio kuwa una bahati.... Sema unakula type yako
Swali la msingi umeshawahi kukutana na manzi anakaa masaki ? Na akakwambia kodi imeisha? Au simu imevunjika kioo?Labda Hawa tunaowapata kwa kutumia majini ya kichawi ndiyo wanakuaga hivyo yaani unakuwa umempumbaza bila yeye kujijua
Basi huyo utamkotro utakavyo mkuu
Ninao mfano uliohai, Kuna demu huwa nikikaa nakupiga naye stori huwa ananieleza madhaifu ya bwanaake kuwa jamaa hamjali pia hajawahi
DubaiiHao wanawake wazuri wasio ombaomba wanapatikana wapi?, na mimi nimpate mmoja.
Swali la msingi umeshawahi kukutana na manzi anakaa masaki ? Na akakwambia kodi imeisha? Au simu imevunjika kioo?
Sio kuwa una bahati.... Sema unakula type yako
Utakuwa mpare wewe[emoji38]
Haha eti hajawahi kuombwa 50k?
Hata kama ni mke wako haendi salon?
Ngoja wapigania uhuru waje kukupa za uso😅 wale maraya carey wa Jeiefu wanaku zoom tu!Kwanza kabisa wanawake omba omba sijawahi kabisa kuwa kwenye mahusiano nao,unajua kwanini huwa sitongozi kila mwanamke anayepita mbele yangu!,kwanza kabisa najijua mimi ni mwanaume wa aina gani na natakiwa kuwa na mahusiano na wanawake wa aina gani!
Labda Hawa tunaowapata kwa kutumia majini ya kichawi ndiyo wanakuaga hivyo yaani unakuwa umempumbaza bila yeye kujijua
Basi huyo utamkotro utakavyo mkuu
Swali la msingi umeshawahi kukutana na manzi anakaa masaki ? Na akakwambia kodi imeisha? Au simu imevunjika kioo?
Ngoja wapigania uhuru waje kukupa za uso[emoji28] wale maraya carey wa Jeiefu wanaku zoom tu!
Anaanzia wapi kukwambia hizo habari😅 labda awe mkazi wa Mbagala au Gomz aliehamia masaki!Swali la msingi umeshawahi kukutana na manzi anakaa masaki ? Na akakwambia kodi imeisha? Au simu imevunjika kioo?
Hao hawapatikani kwa akili ndogo mkuu, ni process kwa nyie mliozoea vya kunyonga endeleeni kulokota malaya wa kitambaa cheupe😅!Hao wanawake wazuri wasio ombaomba wanapatikana wapi?, na mimi nimpate mmoja.