AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Kumbe wewe ni mwanachama, changamka sasa ili mtu mwingine akija kuchukua nafasi usilalamike
Hapa ni sehemu ya kuimba nyimbo za kumsifia Mbowe na Slaa tu, vinginevyto utakula ban au sio????Hapa mkuu ni katika mtandao maarufu wa Jamii Forums, Hapa sio mahali pa kuwasilisha malalamiko ya wanachama wa vyama vya siasa, nakushauri uwaone viongozi wa chama chako uwaeleze haya.
Mim ni mwanaCHADEMA mzuri natokea Moshi Vijijini kata ya Uru Mashariki naishangaa CHADEMA kwani huwezi kuamini pamoja na umaarufu wote huo CHADEMA haina viongozi wa chama ndani ya kata nzima ukiacha mwenyekiti wa kijiji cha Mwasi Kaskazini wanamwita Dr. Maliboro.
Ndani ya kata nzima hakuna kiongozi yeyote na ukizingatia mwaka kesho ni uchaguzi wa serikali za mitaa ni nani anayefanya maandalizi ya viongozi hao au mnasubiri muje na zile kampeni za zimamoto yeyote atakae jitokeza kugombea nafasi yoyote mnampa hata kama hafai halafu akishindwa mnakuja na kauli za kuibiwa kura kumbe mlisimamisha watu wasiofaa mbele ya jamii.
KAMA NIMEDANGANYA ANAEMJUA KIONGOZI YEYOTE WA CHADEMA NDANI YA KATA HII ANITAJIE HAPA
Teh, teh, teh!!, mkuu, mbona akina Ritz hawaimbi nyimbo za kumsifia mbowe na slaa hawajala ban?, Mbona kuna masalia kibao akina Shonza na wenzake wanawatukana hao akina slaa na mbowe na wanadunda mitaani?!, nikukumbushe tu kuwa hadi akina Nnape na Nchemba ​ni wanachama wa mtandao huu, unamaanisha nao huwasifia mbowe na slaa?, acha kudhalilisha watu mkuu.Hapa ni sehemu ya kuimba nyimbo za kumsifia Mbowe na Slaa tu, vinginevyto utakula ban au sio????
Mim ni mwanaCHADEMA mzuri natokea Moshi Vijijini kata ya Uru Mashariki naishangaa CHADEMA kwani huwezi kuamini pamoja na umaarufu wote huo CHADEMA haina viongozi wa chama ndani ya kata nzima ukiacha mwenyekiti wa kijiji cha Mwasi Kaskazini wanamwita Dr. Maliboro.
Ndani ya kata nzima hakuna kiongozi yeyote na ukizingatia mwaka kesho ni uchaguzi wa serikali za mitaa ni nani anayefanya maandalizi ya viongozi hao au mnasubiri muje na zile kampeni za zimamoto yeyote atakae jitokeza kugombea nafasi yoyote mnampa hata kama hafai halafu akishindwa mnakuja na kauli za kuibiwa kura kumbe mlisimamisha watu wasiofaa mbele ya jamii.
KAMA NIMEDANGANYA ANAEMJUA KIONGOZI YEYOTE WA CHADEMA NDANI YA KATA HII ANITAJIE HAPA
Hapa ni sehemu ya kuimba
nyimbo za kumsifia Mbowe na Slaa tu, vinginevyto utakula ban au
sio????
Mkuu BAGASA ni kweli kabisa
kilimanjaro hamna viongozi Bazili Lema Na Makelele Ni Masomjo Wa Mjini
Wamepewa Kwa Kujuana
CHADEMA mnahitaji wanachama kama huyu aliyeanzisha hii thread, siyo hawa wachumia tumbo tuliowazoea hapa jamvini.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu CHADEMA KILIMANJARO IMELALA
Hapa ni sehemu ya kuimba nyimbo za kumsifia Mbowe na Slaa tu, vinginevyto utakula ban au sio????
Sasa kwa nini nyie msijipange mchaguene? Au mnasubiri makao makuu?