pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 466
- 661
- Thread starter
- #21
If u have work,nipatie nikufanyie kazi mkuu!Unaweza kutuelezea verb extension vizuri Kwanza?
If u have work,nipatie nikufanyie kazi mkuu!Unaweza kutuelezea verb extension vizuri Kwanza?
Hizi porojo za kukariri hizi,kwahiyo ukisema nataka nipate Vogue,au VX,au jeep,mara paaap,vinatokea?!!Maneno uumba, usiumbe vitu usivyoviitaji.
Kwanza nakuombea kwa Mungu upate ajira hii insha'Allah.Wakuu habari,
Mimi ni kijana niliyemaliza shahada ya ualimu katika taasisi kubwa sana hapa Tanzania mwaka 2018. Nina umri wa miaka 27 mpka sasa hivi.
Hivyo nipo mbele yenu kutafuta kazi mahali popote hapa Tanzania ikiwa ndani ya fani yangu au nje ya fani yangu.
Kwa sasa napatikana Mwanza, ila mahali popote naweza kuja kwani hali sio nzuri huku mtaani pia kukosekana kwa mtaji ili niwezwe kujiajiri ndo inanisababisha niombe kazi hapa.
Karibuni kwa ushauri pia. Naweza kufanya kazi yeyote ile.
If u have work extremely I'm ready for interview any time.Kwanza nakuombea kwa Mungu upate ajira hii insha'Allah.
Pili naomba sana tena sana huu uzi utafsiri kwa lugha kiingereza. Halafu we take it from there.
Asnte mkuu!Utapata..... amini hivyo.....
Kweli kabisa mkuu,ila nna hukaki watu wote sio sawa..Mimi nipo vizr sana pia nnaheshim kazi za watu.Kwa uzoefu wangu vijana wanapoenda kutafuta kazi huwa wanakuja mikono nyuma acha wapate uone timbwili lake.
Kuna jamaa nilimkabidhi kamera ili awe anapiga picha na kuja kusafisha katika studio yangu,mwanzoni alionekana kuwa makini alipozoea akaanza kula hela za wateja na matokea yake nikawa nafuatwa mimi na kudaiwa
Hebu fikiri mtu umempa kamera bure ,picha anapigia sh 1000/=,na mimi kama mmiliki wa studio namsafishia kwa shilingi 300 kwa picha ,hivyo yeye anabaki na shilingi 700 kama faida lakini anaona haitoshi,hapo hapo kwa siku hakosi picha 10+
Anzia hapa kwenye lugha kwanza. Nashindwa kuamini wewe ni Mwalimu wa English. (I'm trying to give you positive criticism)If u have work extremely I'm ready for interview any time.
Mkuu kama kazi IPO nipatieAnzia hapa kwenye lugha kwanza. Nashindwa kuamini wewe ni Mwalimu wa English. (I'm trying to give you positive criticism)
Asnte kwa ufafanuzi wako, itakuwa ndo ulivyofikiria lakini sipo hivyo kabsKwa tangazo hili ni vigumu kwa mtu mwenye uhitaji wa mwalimu wa sifa zako kukuchukua wewe. Kwanini?
1. Taasisi kubwa sana hapa nchini ndo nini???!
2. Unaonekana hauko passionate na ualimu.
3. Kimsingi kutokana na maelezo yako unataka kuwa mwalimu ili upate mtaji tu then uendelee na michongo yako.
NB: Inawezekana uko sahihi ila hukutakiwa kuonesha hizo hisia kwa mteja wako.
Mkuu sina kazi lkn improve English KwanzaMkuu kama kazi IPO nipatie
Ushanitest ukaona sijui...kama unataka kunichallange njoo DM ujioneeMkuu sina kazi lkn improve English Kwanza
Humu kuna wazinguaji tu.Ushanitest ukaona sijui...kama unataka kunichallange njoo DM ujionee
Call a spade spade brother/sisterHumu kuna wazinguaji tu.
mr kama una kompyuta tengeneza kozi za kufundisha kiswahili halafu ziuze UDEMY.
Promote kozi yako kwa kujibu maswali yanahusiana na kiswahili quora, tripadvisor na reddit.
Inaweza chukua muda,
lakini wakati ukitafuta kibarua jaribu pia hii.
Asnte mkuu!Humu kuna wazinguaji tu.
mr kama una kompyuta tengeneza kozi za kufundisha kiswahili halafu ziuze UDEMY.
Promote kozi yako kwa kujibu maswali yanahusiana na kiswahili quora, tripadvisor na reddit.
Inaweza chukua muda,
lakini wakati ukitafuta kibarua jaribu pia hii.
You’re not ...you just want to show audiences his incompetence to prove that he doesn’t deserve... Hater!Anzia hapa kwenye lugha kwanza. Nashindwa kuamini wewe ni Mwalimu wa English. (I'm trying to give you positive criticism)
Yes I'm not.... only if he took my crisism negatively the way you did.You’re not ...you just want to show audiences his incompetence to prove that he doesn’t deserve... Hater!
Wakuu habari,