Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

We unadhani wakati Scorpion akiwa mwanafunzi alikuwaje ? THINK.

'am trying to be ant-scorpion.
 
sala yako hata Mungu hawezi isikiliza coz now anasikiliza BBC !! Niko town hata kama sio Dar

We mwalimu galasa tu, kuna wakati najiona mwenye bahati watoto wangu hawawezi kufundishwa na mtu kama wewe japo bado nawaonea huruma jamaa zangu wengine waliokuwepo huko unakofundisha.
 
Wacha yaendelee maisha ila kama wantenda hivyo ila kwa wazazi wengine...Hakikisha unabadilisha gheto lako linakiwa lupango ndio usalama wako.
 
We mwalimu galasa tu, kuna wakati najiona mwenye bahati watoto wangu hawawezi kufundishwa na mtu kama wewe japo bado nawaonea huruma jamaa zangu wengine waliokuwepo huko unakofundisha.
kama mwanao ni wakike kama Yuko Tz then hayupo safe kama unavyodhani!!
hata kama hachapwi fimbo kuna namna!!
believe me !! Am a best teacher EVER!!
 
Mkuu ukishaona una hasira kaa chini jikumbushie lile songi la jamaa walimu tuna hali ngunu walimu imba kwa sauti vinginevyo badala ya kupiga utapigwa ww na hasira zako
 
Mkuu ukishaona una hasira kaa chini jikumbushie lile songi la jamaa walimu tuna hali ngunu walimu imba kwa sauti vinginevyo badala ya kupiga utapigwa ww na hasira zako

Huyu jamaa nahisi sio mwalimu, kaamua kutoa comedy tu JF.
 
Mkuu ukishaona una hasira kaa chini jikumbushie lile songi la jamaa walimu tuna hali ngunu walimu imba kwa sauti vinginevyo badala ya kupiga utapigwa ww na hasira zako
mi sio Mywether kupigana ngumi za show off !! ukileta ujinga hata dawati inakuwa nyenzo believe me!! na ndo maana sijawai kupingwa!!
 
we kama ulifeli lazima utawachukia waalimu !!
Teaching is my hobby not only professinal !!

Tulipomaliza masomo waliofeli wote ndio wakaenda ualimu sasa sijui unaongea nini? By the way walimu walionifundisha mimi wengi wao walikuwa timamu, hawakuwa na akili kama zako. Na nikikutana nao mpaka kesho wanakula lager za kutosha kisha wanaondoka na nauli ya taxi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…