Bandari inafanya kazi sasa hivi na haina shida yoyote. Uvivu na ufisadi wenu ndiyo umetufanya tuwape watu walio serious, waarabu.
Mtu anayewaza chini tu kama wewe tukimpa bandari aiendeshe, badala ya kufikiria ufanisi yeye atafikiria chini na kuongeza nyumba ndogo.