Kuna jamaa alilala juu ya mti kumbe chini
ya mti ule wachawi wanakutana,walipofika
wakaanza kujitambulisha mimi mchawi
kutoka Sumbawanga mimi mchawi kutoka
Tanga,
mimi
kutoka Naigeria, mimi kutoka Congo. Jamaa
anawasikiliza tu akatokea mmoja
akasema mimi mchawi kutoka
Afghanistani,, jamaa
akasema mmh huyu atajilipua sasa ivi
hawachelewi hawa. Tutakufa sote, kwa
hofu akaruka puu chini.
Nae akajitambulisha
mimi ni mchawi toka
MBINGUNI. Wachawi wote mbioo, ..!