Mimi ni mbinafsi????


Mimi sikuwa kipanga, niliteleza matukio machache sana ndiyomaana hata nayakumbuka, hivi unajua kuna watu wameharibu sana mpaka hawakumbuki na bado wanaendelea
 
Siwezi kurudia ujinga kaka, tushirikiane kuwalea watoto jamani

Nadhani hofu tu inayokufuatilia, na si hofu bali ni ukweli halisi kuwa uliyowafanyia wana wa wenzio ndio yanayokuogopesha na kukukosesha raha.
 
Nami lazima nimgegede wa kwako nione raha yake ....samaki mkunje angali mbichi.
 
Nadhani hofu tu inayokufuatilia, na si hofu bali ni ukweli halisi kuwa uliyowafanyia wana wa wenzio ndio yanayokuogopesha na kukukosesha raha.

Siyo hofu dhidi ya wanangu, bali ni kwa watoto wote, tukibadiri tabia tutawasaidia watoto wote
 

Kaka wewe ulichokuwa Unakifanya ni cha kifidhuli. TATIZO WEWE ULIKUWA UNAONA MTOTO WA MWENZIO NI MTU MZIMA LAKINI WAKWAKO NI MTOTO. Na kwa sababu malipo ni hapahapa duniani subiri kuyaona uliyoyafanya ambayo wewe unajifanya kwamba unayachukia (Sio kwamba na kulaani ila ndivyo ilivyo). Jaribu kufikiri kipindi ulivyokuwa unamahusiano na hao madogo wa F3, F4 na F6 wazazi wao walikuwa wanajisikiaje? na je ni kwa namna gani uliwavurugia concetration yao kwenye masomo? Majibu tafadhali
 
jiandae kuwa na mjukuu akifika la saba
 

Nakiri ilikuwa ni Tabia mbaya, je wewe unaona iendelee au tuipige vita kabisa?
 

Wee ni mkorofi.
 

Hahahaha! Unaishi kwa kukimbia kivulichako mkuu, subiri hako kabinti kako nako katafayiwa kama ulivyofanya wewe, mwosha huoshwa! ila nakupongeza kwa kuuona na kujutia udhalimu wako! take good care of ur dota!
 
haaaa
mi na wewe nani mkorofi zaidi kwani?

Wewe ni mkorofi zaidi kwani hata Tafiti zinaonyesha hivyo, umemtolea Lugha Chafu Madam B, Mvaa Tai...Just to mention a Few... Na uandishi wako umenipa picha wee ni mtu wa namna Gani, kuna kipindi nimeona hiyo Avatar yako almanusura niku-PM, Kumbe ni 'majanga'
 
ha haaaaa
pole zako
utayabeba mangapi kwani
na alokwambia anataka pm zako ni nani;
hivi na mie uliniona wa chips mayai mmmmh

wakupm wapo tu.

 
ha haaaaa
pole zako
utayabeba mangapi kwani
na alokwambia anataka pm zako ni nani;
hivi na mie uliniona wa chips mayai mmmmh

wakupm wapo tu.

Wewe siyo wa Chips, wewe tunakudanganya na Ki-Ruv4 cha milango mitatu ila hatukupi Card ya gari, Marginal utility ikishaanza kuporomoka tunakutafutia sababu.....lol
 
Mvaa Tai
nimekusoma nimekuelewa
mwisho tutakwenda sawa tu.

Wewe siyo wa Chips, wewe tunakudanganya na Ki-Ruv4 cha milango mitatu ila hatukupi Card ya gari, Marginal utility ikishaanza kuporomoka tunakutafutia sababu.....lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…