Mimi ni fundi wa kushona natafuta tenda

Napenda surwali za kushona lakini mafundi mnakera sana. Mara ya mwisho nilikubadiliana na fundi anishonee surwali mbili kwa sh 45,000 nikachukuwe baada ya wiki moja, nikampa sh14,000 ili nije nimalizie 31,000. Siku hiyo nikaenda saa kumi na Moja jioni nakuta amekata vitambaa tu hajaanza hata kushona, akasema njoo kesho. Nikamuuliza wiki nzima umefanya nini?! Hakuna Cha kesho. ni either unipe Ela yangu au surwali zangu zote mbili niondoke nazo sasaiv. Ikabidi nisubiri azishone kuanzia saa kumi na Moja Hadi saa nne usiku. Kuna muda umeme ulikata nikamuwashia tochi, Akataka kwenda chooni nikamzuia. Mafundi wengi mnakuwa kama mmelaaniwa hamuwezi kufanya kazi kwa uaminifu bila kugombana na mteja
 
Kwahiyo ndio ukaona utuchambe?
 
Kama kaweza kuzishona ndani ya masaa 6, basi kutokuwa na nidhamu ya kazi ndio kunasababisha utowajibikaji!
 
Napenda surwali za kushona lakini mafundi mnakera sana. Mara ya mwisho nilikubadiliana na fundi anishonee surwali mbili kwa sh 45,000 nikachukuwe baada ya wiki moja, nikampa sh14,000 ili nije nimalizie 31,000. Siku hiyo nikaenda saa kumi na Moja jioni nakuta amekata vitambaa tu hajaanza hata kushona, akasema njoo kesho. Nikamuuliza wiki nzima umefanya nini?! Hakuna Cha kesho. ni either unipe Ela yangu au surwali zangu zote mbili niondoke nazo sasaiv. Ikabidi nisubiri azishone kuanzia saa kumi na Moja Hadi saa nne usiku. Kuna muda umeme ulikata nikamuwashia tochi, Akataka kwenda chooni nikamzuia. Mafundi wengi mnakuwa kama mmelaaniwa hamuwezi kufanya kazi kwa uaminifu bila kugombana na mteja
Pole sana mkuu, mafundi tunatofautiana sana. njoo inbox tuyajenge, utafurahia kazi yangu
 
Napenda surwali za kushona lakini mafundi mnakera sana. Mara ya mwisho nilikubadiliana na fundi anishonee surwali mbili kwa sh 45,000 nikachukuwe baada ya wiki moja, nikampa sh14,000 ili nije nimalizie 31,000. Siku hiyo nikaenda saa kumi na Moja jioni nakuta amekata vitambaa tu hajaanza hata kushona, akasema njoo kesho. Nikamuuliza wiki nzima umefanya nini?! Hakuna Cha kesho. ni either unipe Ela yangu au surwali zangu zote mbili niondoke nazo sasaiv. Ikabidi nisubiri azishone kuanzia saa kumi na Moja Hadi saa nne usiku. Kuna muda umeme ulikata nikamuwashia tochi, Akataka kwenda chooni nikamzuia. Mafundi wengi mnakuwa kama mmelaaniwa hamuwezi kufanya kazi kwa uaminifu bila kugombana na mteja

MAFUNDI WENGI WANA HUU UBWEGE!!!
 
Back
Top Bottom