Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,022
Piga mjomba, mademu tuachie sisi
Ushauri mbaya hivi miaka 20 bado mdogo?Mdogo wangu, wewe Fanya mambo mengine kwanza. Mambo ya kutongoza waachie wa kubwa.
Vitu kama hivyo hujijia tu automatically. Kama unasoma,piga kitabu. Kama una dili zingine, Fanya kwa bidii. Achana na mambo ya wanawake.
Tafuta pesa, kisha wanawake watakutongoza wewe.
Dogo tafuta pesa kwanza vingine vitakuja vyenyeweWakuu...
Mimi ni kijana wa miaka 20 ila jamani hadi najigopa kwanza sina swaga kuanzia kuvaa...ila kwa upande wq kutongoza najitahidi sasa shida inakuka kukubaliwa na kupewa tunda la mti wa mema....naonaga bora NIKAE KIMYA AGE NDO INAENDA HIYO...
Sina la kukushauri maana hata jina lako linanisuta na naweza kukushauri ukajanitongozea hata dada zangu alafu mwishoe ukaleta dharauWakuu...