mbali na fani yako, Je,nashukuru mkuu kwa wako ushauri..
mbali na fani yako, Je,
Unaweza kuzungumza ENGLISH vizuri?
Omba nafasi za utumishi mbona madereva wengi tu.
Kama unaweza kutema yai vizuri omba zile za ngorongoro ukale bata Na wadhungu pembeni ukiwa na masaimimi ni dereva w magari,nina cheti cha NIT na leseni class C1 na uzoefu wa kutosha,naombeni msaada wenu wadau..
Umeonaaa eh? Yaani jamaa yupo tu kakaa kama boga!! Halmashauri kila leo wanatoa nafasi za kazi,au anangojea mpaka ashikwe mkono apelekwe kwenye gari kabisa,apewe funguoDah kweli upele humuota asiyejua kujikuna.
Madereva wenye sifa kama zake na zaidi wapo wengi tu lakini hawapati hata daladala tu, kwaiyo msimlaumu na inavevekana hata hiyo C1 kaipata mwaka huu au mwaka jana ko huenda pia hana experience kubwa ya kuendesha magari makubwa ya abiria cha kufanya apambane tu asikate tamaa,Umeonaaa eh? Yaani jamaa yupo tu kakaa kama boga!! Halmashauri kila leo wanatoa nafasi za kazi,au anangojea mpaka ashikwe mkono apelekwe kwenye gari kabisa,apewe funguo