Mimi ni CUF mpaka kufa sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi ni CUF mpaka kufa sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makaimati, May 24, 2011.

 1. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi ni CUF mpaka kufa sasa

  Posted on May 24, 2011 by zanzibaryetu


  [​IMG]


  Mmoja wa wanachama wapya wa Chama Cha Wananchi (CUF) akionesha kadi yake baada ya kujiunga rasmi na chama hicho muda mfupi baada ya kufunguliwa tawi la chama hicho katika jimbo la Donge wiki hii, jimbo lenye upinzani mkubwa kwa vyama vyengine vya siasa. Mwanachama huyo ni miongoni mwa wanachama 105.jimbo la Mwakilishi wa muda mrefu Ali Juma Shamhuna ambalo limekuwa likilalmikiwa kwa muda mrefu kutoana na kuminywa demokrasia kwa kuwanyima fursa vyama vyengine kuendesha shughuli zake katika jimbo hilo. CCM ndio pekee waliokuwa wakiruhusiwa kufanya mikutano yake ndani ya jimbo hilo.
   
 2. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kama kawaida, islam halisi!!
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,700
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  hongera zake afadhali katoka MAGAMBANI!
   
 4. Z

  Zaitun New Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtu mmoja,kwani cuf ni waislam?at least hata jimboni kwa shamhuna
   
 5. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,564
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Kama ametoka CCM akaenda CUF hakuna alichofanya.
  Nisawa na kutoa kitu mfuko wa kulia wa suruali kuhamishia mfuko wa kushoto.
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwa hiyo ukiwa Chadema then mkiristo sio kawaida wabongo bwana na siasa zao sijui kama tutafika
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,120
  Likes Received: 1,375
  Trophy Points: 280
  Safi sana kuikataa ccm ni hatua muhimu kuelekea kuwa huru.
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,124
  Likes Received: 7,086
  Trophy Points: 280
  kwani CUF ni chama cha upinzani?
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Sioni tofauti ya CUF na CCM!
   
 10. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ni sawa na kuhama mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine
   
 11. k

  kamimbi Senior Member

  #11
  May 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF si lolote kwani ni CCM ileile, mala zote ungesema hata TLP au chama kingine, fanya hima kabla hujafa uhama huko:pound::pound::pound::pound:
   
 12. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 730
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  umesahau ile ya, kashinda ccm tumeshinda sote..
   
 13. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  "kama kawaida, islam halisi"!!
  siyo issue kuingiza interests za kiimani humu
   
 14. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  CUF zamani bwana lakini leo CCM na CUF sawa na shati na vifungo hawatokani!
   
 15. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uislam hapa unahusika vipi? Udini utawamaliza nyinyi.
   
Loading...