Mimi ni binti wa miaka 22, natafuta kazi nipo mkoa wa Iringa

Hivi ulivyojibu tu unaonyesha wewe bado kijana Mkuu! Katika ajira na mambo anayoweza kufanya huyo binti hapo juu ameainisha ajira ya ndoa?
Yeye shida yake ni mshahara, mume anasema sitaki upate tabu mke wangu ya kutumikishwa nakulipa mshahara kila mwezi na stahiki zako zote kama mke utazipata,shida ipo wapi?
Hayo mengine sina haja ya kuendelea kubishana
 
Unahubiri chuki za wazi kabisa baina ya ME na KE huoni vibaya?

Samehe msamehe aliyekukosea, acha kutunza hiyo chuki ni mbaya kwa afya yako. Huwezi kucontrol dunia, kwa kusema wanawake wasisaidiwe na wanaume, kusaidiwa watasaidiwa tu kama si humu JF basi ni nje ya JF.

Ukishindwa kuicontrol dunia kama ufanyavyo hapa unaweza ishia kujiua kwa kuona umepoteza muda kuhubiri kitu ambacho watu hawakifuati.

Heal.
 
Kama kweli upo serious nitumie namba zako pm pia nitakuuliza baadhi ya maswali. Sihitaji hata shilingi 0 yako wala mwili wako na pia sihitaji kukuona wala unione. Kuna vitu nikijiridhisha nitakusaidia. Una urefu futi ngapi?
 
Baada ya Ramadan qareem Kuna kazi huko arabuni Oman utaweza kwenda kwa waarabu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…