Mimi natamani niwe ‘single father’

Mimi natamani niwe ‘single father’

Goku 255

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
451
Reaction score
872
Nitafuta watoto wangu ni walee mwenyewe,maana sitaki ndoa na sitaki usumbufu. Ila mademu nitaish nao ila sio ndoa

Kataa ndoa acha stress,kula bata maisha ni mafupi. Mama single faza Tanzania tupo na hatutaki ndoa,pia mimi nimelewa na mama nanitakuwa vice versa ya mama
 
Nitafuta watoto wangu n walee mwenyewe,maana sitaki ndoa na sitak usumbuf.Ila mademu ntaish nao ila sio ndoa
Wazaramo wanasema "Inda la bigalo navina mwana", wakimaanisha kuwa 'tumbo la mwanaume halitoi/halizai mwana'.

Sasa sijui wewe mtoto wa kiume utawazaaje hao watoto unaowataka.

Hebu nifafanulie kidogo nami nitambue!

MENEMENE TEKERI NA PERESI.
 
Hawa ndiyo wanatafutwa na dada Gwajima maana anasema atazaa sijui hao watoto watapita wapi
 
Wazaramo wanasema "Inda la bigalo navina mwana", wakimaanisha kuwa 'tumbo la mwanaume halitoi/halizai mwana'.

Sasa sijui wewe mtoto wa kiume utawazaaje hao watoto unaowataka.

Hebu nifafanulie kidogo nami nitambue!

MENEMENE TEKERI NA PERESI.
watoto na watafuta kutoka mwanamke,ila watoto na wachukua na walea kivyangu na fanya uhun
 
Kuna dada nilimuona ticktock anatoa huduma ya kuzaa, alisema yuko Morogoro. Kwa ambavyo hatuna sheria za surrogacy mtapigana mvunjane shingo.

😅
 
Wazaramo wanasema "Inda la bigalo navina mwana", wakimaanisha kuwa 'tumbo la mwanaume halitoi/halizai mwana'.

Sasa sijui wewe mtoto wa kiume utawazaaje hao watoto unaowataka.

Hebu nifafanulie kidogo nami nitambue!

MENEMENE TEKERI NA PERESI.
Kwenye post yake amemaanisha atazalisha na kuwalea watoto peke yake, meaning atawapatia wanawake mimba with no strings attached.
Ndiyo vijana wetu wa kizazi hiki.
 
Back
Top Bottom