Mimi natamani niwe ‘single father’

Mimi natamani niwe ‘single father’

Nitafuta watoto wangu ni walee mwenyewe,maana sitaki ndoa na sitaki usumbufu. Ila mademu nitaish nao ila sio ndoa

Kataa ndoa acha stress,kula bata maisha ni mafupi. Mama single faza Tanzania tupo na hatutaki ndoa,pia mimi nimelewa na mama nanitakuwa vice versa ya mama
Haya ndio matokeo ya kulelewa na single maza.... Mnaona familia ni kitu cha ajabu.

Mtoto wa kiume hutaki stress umekuja duniani kufanya nini?
 
Nitafuta watoto wangu ni walee mwenyewe,maana sitaki ndoa na sitaki usumbufu. Ila mademu nitaish nao ila sio ndoa

Kataa ndoa acha stress,kula bata maisha ni mafupi. Mama single faza Tanzania tupo na hatutaki ndoa,pia mimi nimelewa na mama nanitakuwa vice versa ya mama
Ukiona unajilinganisha na tabia za mama yako elewa wazi kabisa wewe bado ni mtoto sana kuishi na mwanamke na kua na watoto
 
Back
Top Bottom