M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,525 Reaction score 6,075 Jan 13, 2022 #1 Wachezaji wa yanga wakiwa wamepanda bodaboda baada ya kuwasili jijini DSM wakitokea Zanzibar
0ozg Tz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 4,168 Reaction score 11,230 Jan 13, 2022 #2 Sio sawa,ila mashabik wa yanga n wavumilivu sana,eti mpaka sasa bado wanaweza kubishana
kenge 10 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2014 Posts 1,450 Reaction score 2,385 Jan 13, 2022 #3 GSM ashanuna
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Jan 13, 2022 #4 Lakini jana basi lao lilikuwa bandari kuwapokea wakapokewa na mashabiki kwa jagi lililofanana na kombe huku wakizomewa. Labda hiyo picha siyo ya bandarini
Lakini jana basi lao lilikuwa bandari kuwapokea wakapokewa na mashabiki kwa jagi lililofanana na kombe huku wakizomewa. Labda hiyo picha siyo ya bandarini
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,692 Jan 13, 2022 #5 Mambo yake muachieni mwenyewe...
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,412 Jan 13, 2022 #6 Na mimi naona haipo sawa.
ZionGate JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 6,370 Reaction score 3,007 Jan 13, 2022 #7 Hadi kina mayele wamekula boda alafu wanajinasibu wa kimataifa, hiz aibu ni bora lile dcm lingekujakuwapakia
Hadi kina mayele wamekula boda alafu wanajinasibu wa kimataifa, hiz aibu ni bora lile dcm lingekujakuwapakia