meba Member Joined May 5, 2012 Posts 99 Reaction score 9 May 20, 2012 #1 Mimi kama mwanachama wa m4c naomba chadema waende pale Monduli waivuruge mpango el kupata ubunge jimbo lile namwomba Lema na Dr slaa.Tunataka Arusha nzima tuwaandoe hao magamba wametunyanyasa muda mrefu kwa kweli cdm wasipoenda mimi naenda mwenyewe
Mimi kama mwanachama wa m4c naomba chadema waende pale Monduli waivuruge mpango el kupata ubunge jimbo lile namwomba Lema na Dr slaa.Tunataka Arusha nzima tuwaandoe hao magamba wametunyanyasa muda mrefu kwa kweli cdm wasipoenda mimi naenda mwenyewe