asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
[h=5]Jamaa alikuwa safarini, gari likamharibikia kijijini akaomba hifadhi akakaribishwa,
baada ya kuoga na kula.
MZEE:"sasa huyu mgen sijui alale wap?"
MKE:"saa hz ni usiku akalale na Bebi."
jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
JAMAA:"msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi" akalala
asubh wanakunywa chai akaibuka mrembo,jamaa akapigwa bumbuwazi almanusra ajimwagie chai.
BINTI:"Naitwa BEBI,we unaitwa nani?"
Jamaa akasema mm naitwa ----.....![/h]