Mimi na wewe tutafika huku Lazima.

Mimi na wewe tutafika huku Lazima.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
du.jpg
 
Uwiiiii umeniogopesha jamani!!!

Usihofu. Yesu Kristo alishinda kifo na mauti. Kifo cha kimwili ni njia tu ya kupita kuelekea maisha ya milele ama mbinguni au jehanamu. Kama ukitubu dhambi na kumaanisha kuziacha na kumkubali Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako, hakika baada ya kifo atakukaribisha mbinguni uishi naye milele. Haleluya
 
Hivi mungu anakufa na mungu anakuwa binadamu kama sisi si bora tungekuwa na mungu wetu ngombe na anatoa maziwa na nyama
 
Hivi mungu anakufa na mungu anakuwa binadamu kama sisi si bora tungekuwa na mungu wetu ngombe na anatoa maziwa na nyama

Kama kauli yako ni kutokana na ujinga ni heri kwako kwani ukiwa tayari kwa unyenyekevu kuelimishwa, Mungu atakusaidia kuelewa. Lakini endapo umeandika hivi kwa dhihaka basi Mungu mwenyewe uliyemdhihaki na aangalie atakalofanya.
 
Back
Top Bottom