The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
Unaweza fikiri ni normal
but binafsi naona sio normal.........
Ni hivi
toka mashindano ya big brother yalipoanza sijawahi
feel uncomfortable kuona watu wakibusiana
(french kiss) kwenye screen
au hata wakisex au chochote kile cha mapenzi.........
Kwa ufupi huwa nae njoy kuliko kuwa uncomfortable......
Sasa hili shindano la mwaka huu
kila nikimuona mdada mtanzania aki[igwa mabusu hasa yule bhoke
i feel so uncomfortable....yaani naona kama wananiboa hivi.....
Most of the time na change channel for a while.........
Sasa hii sidhani ni normal.....
Tatizo langu hapa ni nini??????
Kwa nini inatokea hivi????????