Nimekiona wallah napenda sana watoto...wangekua wanauzwa dukani humu kwangu ningekua nao hata 10 lol
Kuoa na kuoleana ndiyo kujenga undugu na mshikamano!Heheh unataka uwe mkwe wa Faizafoxy?
Katoto kamefanana na mamayake!Ushungi uko wapi? Watamfukuza kaka zake! Mmependeza lakini na kajitoto yenu, Ngoja dadaangu Farkhina akione katoto atafurahi sana!
Ushungi uko wapi? Watamfukuza kaka zake! Mmependeza lakini na kajitoto yenu, Ngoja dadaangu Farkhina akione katoto atafurahi sana!
Teh teh teh!ingekuwa kule kijijini kwetu watu wange'place order in advance'!Dah! hako kamalaika ni ka-cute kwelikweli
Teh teh teh!kwa raha zako!:clap2::becky::welcome:
Teh teh teh!kitandani lazima hajiachie full mziki!Mbee hivi haya maushungi hata ukiwa makitandani ni must utupie?
Generally ni mzuri mama yetu huyu...
Mkuu wewe unamatatizo ya kisaikologia!hawa ndo wanazaa wakina obama sio black + black - umaskini
Mkuu huu ni husia mzuri sana kwa wazazi!Mleeni mtoto akue katika hekima na kimo, ili ampendeze Mungu na wanadamu.
Mkuu kwanini umeamua kufanya hivyo?let me reserve my comment
Teh teh teh!maagizo ya mungu yanasema usitamani mali ya mtu mwingine!Mabrouk......jamani kitoto kizuri hicho maashallah natamani kiwe changu.lol
Mkuu kwanini umeamua kufanya hivyo?