Mimi Mwenzenu mapenzi basi

Status
Not open for further replies.
Huwezi kuyakwepa mapenzi... Lakini sio kila umpendae atakua mpenzi wako,... Vuta pumzi kidogo na uyapokee na kuyakubali, then utafurahi.... Hujafika safari inaendelea......
 
Halafu anakupotezea muda maana hatakuoa hebu muache roho imuume yeye kabla hajakuacha ukashindwa kuhimili ukajifia bureeèe
 
ndio mpenzi wako wa kwanza ? pole ila utazoea tu ndio tulivyo wanaume nikishakuzoea tu papunch yako huwa nataman mpya hata km ww utakuwa mzur vip hiyo ni natural tu km hachepuki ujue anaizuia tamaa na nafsi ww mpende tu ila usimwonyeshe km unampenda sana fanya km unampotezea atastuka maana ndio tulivyo hata niwe na michepuko mingi ila sipendi demu wangu achukuliwe na men mwngne
 
Pole mnoo jaribu kumsahauu, jaribu kukumbuka mabaya yake tu, utamsahauuu
 
Jipende mwenyewe dada. Ukimpenda mwingine tena hakupendi ni tatizo. Jifunze kujipenda wewe mwenyewe kwanza
 
Beyonce anautajiri wa $350 milion, ameuza copy zaidi ya 100m, anatuzo za gramy 22, ila bado anamsamehe Jay Z akicheat!!

*Wewe unamiliki pafyumu na wanja [emoji23][emoji23] lakn ukigundua mpnz wako amekucheat, hapatoshiiiii* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uvumilivu zero tatizo wanawake wengi hamjui kujishusha kisa unapendwa mtaa mzima ndo unataka msela akunyenyekee? acha tuendelee kuwachezea tu
 
Uvumilivu zero tatizo wanawake wengi hamjui kujishusha kisa unapendwa mtaa mzima ndo unataka msela akunyenyekee? acha tuendelee kuwachezea tu
Teh...chezea uvumilivu!
 
Hao uliowataja
. Muuza genge
. Muuza duka
. Mpaka rangi kucha
. Konda

Ndo wenye manoti uliowakataa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…