Mimi mwenzenu hali si nzuri

m.agape

Senior Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
149
Reaction score
94
Salamu zangu kwenu wana jukwaa.
Nimehitimu Diploma ya Business Administration mwaka 2010.
Mpaka leo hii ni miaka mitatu nipo mtaan.
Nimeomba vibarua sana hata nafasi ya kujitolea sijafanikiwa kuipata.
Ninawaombeni wanajukwaa hili msaada hata nafasi ya kujitolea.
Nina uzoefu kwenye maswala ya
1. Whole sale and retail selling
2. Cashier
3. Stock control
4. Stock accounting.

Tafadhali naomba msaada na ushauri pia..
Nipo Kawe. 0714606150:
Mimi ni mwanamke.
 

nenda pale kona mikocheni,makao makuu ya jkt,au ofisi za mkuu wa wilaya ya kinondoni,kuna nafasi za kujiunga na JKT zimetangazwa,omba uende zako JKT ukitoka kule una kazi yako nzuri tu..

Usibweteke bweteke tuu kuomba omba ushauri,coz si kila anaye kushauri atakushauri vile unavyotaka.
Ushauri unabaki makelele tuu kwenye maskio
 
Usikate tamaa,
Amini Mungu yuko nawe.
Mungu akufungulie milango.
Hili ni dua langu kwako.
 
pole sana, hongera kwa kuthubutu kufunguka! Tanzania ina watu wengi kama wewe, wengi hawajulikani alipo!
 
pole2po weng kama vp jaribu kibusnez hata cha kawaida ili upate hata za kutolea copy,ila muamin Mungu huyu baba nimwaminifu siku moja utafurah hajakusahau my csta.all the best in your succes
 
Jamaa aliekupa ushyauri wa kwends JKT ni waso zuri.
Natumai haitapita kesho utakuwa ummenda kama upo makini na maisha.
 

jus kawaid usipoteze tumain...kitu kizuri kina chaleng endlea kutafuta MUNGU ATAKUSAIDIA ...kumbe ww ni jirani..karib kwetu msimu huu
 
Mimi nimemaliza Diploma ya account nimepewa ushaur ni baba angu niende JKT nina mpango wa kufanya ivo
 
Kweli Kazitunayo umeongea kitu sahihi. Hata huyu jamaa, kama anajiona yuko fit, namshauri aende JKT aisee maana huku mtaani si shwari kila kona.

Pili jitahidi mkuu ku-apply tu, hatuna jinsi. Najua kuna maraia wataja sema kwanini usihiajiri, ila mimi ninaamini sio kila mtu anaweza mambo ya kujiajiri, tukiwa wawazi.

Tatu, maombi muhimu. Sali sana mzee kwa imani yako.

Na mwisho, kama kuna mtu wa kufikisha hivi vilio kwa wahusika, aisee, waambieni wakubwa huku mtaani balaa aisee. Yaani ata cha kuongea hatuna.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…