mimi mwenyewe mchawi kishenzi

mkalagale

Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
71
Reaction score
8
najua wengi mtasoma hii thread kwa sababu mnapenda sana ushilikina
 
Ni bora uwe mchawi kuliko mwanga,sasa wewe ni mwanga
 
Hovyooo! C tu ww ni mchawi bali pia ni mjinga
 
Hahahahaa
we dogo akili yako sio nzuri.
 
nina wasiwasi hilo jina lako ni jina la mzizi unalotumia ktk shughuli zako za uchawi.
 
Sa mnamind nini masaburi yenu wakat hii ni thread ya utani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…