Mimi mjazito napata maumivu kwenye makalio

Habari za muda huu poleni na majukumu,

Mimi ni mjamzito miezi 3 napata maumivu kwenye makalio yanashuka Hadi kwenye muunganiko wa makalio na mapaja kwa nyuma yani ni kama maumivu yanatokea kwenye misuli iliyopo ndani ya makalio nashindwa Hadi kutembea vizuri, Leo nimeenda hospital doctor kaniambia nipime uti nimepima Sina ameishia tu kuniambia nifanye mazoezi.

Naomba mnisaidie kwa anayefahamu shida itakuwa nini au kwa ambaye alishapata hii changamoto na Mungu awabariki.
Huyo ni daktar kwel dada angu?
 
Mpe mumeo mgegedo akufanyishe mazoezi azibue misuli hiyo
 
Jiandae na mabadiliko ya mwili wako. Kuna wakati utafika tumbo litakuwa linakuwasha sana utatamani kula steel wire. Poleni akina mama ambao mmeamua kuchukua jukumu zito.
 
Back
Top Bottom